ukiwa na pesa nothing is imposible when it comes to ubunifu wa majengo
muonekano wa kisiwa hicho kwa juu
kwa ndani
Kisiwa hicho chenye ukubwa wa mpaka square meter 1000, kina vyumba vikubwa sita, sehemu ya kuchomea nyama (BBQ), sehemu ya kuotea jua na sehemu ya Bar ambayo ina uwezo wa kuchukua mpaka watu 15
Post a Comment